katibu mkuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Asharose Migiro katibu Mkuu CCM anaanza kazi lini?

    Kwa anasubiria uapisho? Toka ameteuliwa ni kama alilazimishwa kuwekwa hapo. Aanze kufanya kazi. Tunamsubiria huku mashinani.
  2. GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

    Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
  3. GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
  4. PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  5. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  6. M

    Emmanuel Nchimbi anaenda kuwa katibu mkuu bora kabisa wa CCM

    Salam kwenu. Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu. Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie haki wakati wa mchakato na uchaguzi wenyewe. Kuna wahuni walishaanza kutaka kupita bila kupingwa 😂😂...
  7. C

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge wa CCM Moshi Mjini, Priscus Tarimo aishtaki Bendi ya Polisi kwa tuhuma ya kufanya siasa

    MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
  8. PreGE2025 LGE2024 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

    Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo. Sasa angalia mwenyewe...
  9. Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  10. Video: Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan jana 17/9/2024 ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Moshi - Kilimanjaro

    Moderator JF: 1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon........... 2. Uchambuzi huu unaofanywa na mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi anayeishi uhamishoni...
  11. The Truth: Dkt. Nchimbi ni kiongozi mwenye maono na anajua demokrasia

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi, ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anajulikana kwa kuwa kiongozi mwenye maono (visionary leader) na anayejali misingi ya demokrasia. Kumsifia kama kiongozi mwenye maono ina maana kuwa ana uwezo wa kutazama mbele, kuweka mikakati ya muda mrefu, na...
  12. Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  13. A

    Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

    Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano. Soma Pia: Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo...
  14. Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  15. Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  16. F

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  17. Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  18. PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  19. N

    Kuna nafasi hazijawahi kutwaliwa na wanawake, Makamu mwenyekiti CCM na Katibu mkuu CCM, kwanini?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke. Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia...
  20. Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia. Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika. (Haya ni maneno ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…