katiba

  1. JamiiForums Tanzania Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

    Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated? Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru. Naomba kuwasilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    Kama tunavyojua kwa sasa, marais wa Jumuiya waliamua kuwa kongamano la kisiasa (confederation) itakuwa muungano wa kisiasa wa mpito wa kukaribisha shirikisho la kisiasa (federation). Tofauti kubwa kati ya kongamano la kisiasa na shirikisho la kisiasa ni kuwa uanachama wa au kuondoka kongamano ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

    Katiba Yetu inaweza ikawa na mapungufu mengi, katiba hii hii pamoja na mapungufu yake mengi, Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliilinda hata kama chaguzi za wakati huo zilikuwa na makando kando lakini hayakuwa Kama haya ya leo. Lakini pia rais aliyeapa kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania/Dunia ya leo Katiba kuruhusu Darasa la Saba kuwa Mbunge ni aibu kwa Taifa

    Sina nia ya kuwadharau wale wenye elimu ya Darasa la Saba ila ninaandika haya kwa kuzingatia nafasi ya uwakilishi wa Jimbo na unyeti wa nafasi hii. Dunia/Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya 60s. Tunahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote ikiwemo katika nafasi za ubunge. Mbunge ni mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Nchi

    Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja. Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama...
  11. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha Polisi kuzuia mikusanyiko, mikutamo na maandamano kama inavyoruhusiwa na Katiba chateguliwa!

    Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo. Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu Rais aliyepo madarakani ikiwa anatetea nafasi yake ni muda gani anakuwa kama mgombea?

    Kwa wajuzi na wabobezi wa maswala ya sheria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria nyingine zinasemaje kuhusu mamlaka ya raisi anapo kuwa mgombea kutetea nafasi yake"ni wakati gani anakuwa na kofia ya urais na ni wakati gani anakuwa na kofia ya mgombea? Nauliza hilo kwa sababu nilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo yetu Watanzania yalindwe na Katiba sio mtu

    Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote. Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

    Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
  16. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiende Uchaguzi Mkuu kudai katiba mpya, kudai Tume Huru nendeni na ajenda za kutatua shida za watu

    Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience. Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo 1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani 2. Serikali ina wajibu gani na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nina kesi 6 Mahakamani nikihusishwa na uchochezi lakini hazininyimi sifa ya kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba

    Tundu Lissu mwenyewe amefafanua juu ya kesi zinazomkabili pale Mahakama ya Kisutu na kwamba kesi hizo hazimuondolei sifa ya kupigiwa kura na kuwa Rais wa JMT. Amebainisha kuwa hilo liko wazi kabisa katika katiba ya nchi yetu. Maendeleo hayana vyama!
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya Dkt. Shein inamaliza lini? Je, Katiba imezingatiwa?

    Mada inahusika. Nadhani tunakumbuka kwamba baada ya Jecha kufuta uchaguzi wote wa Zanzibar wa tarehe 25 oktoba, 2015 ulisogezwa mbele baada ya miezi sita. Ndipo tarehe 20 Machi, 2016 ukaitishwa ule wa marudio. Kwa kadiri tunavyoelewa, uchaguzi unaitishwa kila baada ya miaka mitano. Matarajio...
  20. JamiiForums Tanzania Kama sheria haijapitishwa na Bunge na haijafuata Katiba, Sheria hiyo ni batili. Kanuni mpya za mitandao ni batili

    (1) Katiba hutoa madaraka kwa Bunge kupitisha sheria. SHERIA lazima iwe within 4 walls ya katiba-la sivyo sheria ni batili. Sheria inatoa madaraka kwa Waziri au taasisi nyingine (k.m TCRA) kutunga KANUNI. Kanuni lazima ziwe within 4 walls ya sheria mama na Katiba-la sivyo ni batili. (2)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…