Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
Tatizo lilianza siku alipoidharau Katiba ya nchi kwa kuiita kwa maneno yake mwenyewe kuwa 'kijitabu'.
Na kuna siku atashitakiwa kwa kuikashifu Katiba ya nchi.
Namna pekee ya kupona ni kwa yeye kutoka hadharani na kuhutubia kama alivyofanya juzi lakini badala ya kuongea mipasho aombe radhi kwa...
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa...
Kwa wananchi na wapenda haki wote.
Polepole amekerwa na mchakato wa uteuzi wa rais na mgombea mwenza ndani ya chama chake tu.
Lkn uporaji wa uchaguzi kama ule uliofanywa 2019, 2020 na 2024 Polepole anaona sawa tu. Na wala siyo shida zake hizo.
Polepole na kundi lake hawapiganii haki ya...
Baada ya kuweza kurekebisha Katiba ya CCM ndani ya masaa 72 kwa nini CCM wanaona hakuna muda wa kurekebisha Katiba ya nchi su sheria za Uchaguxi ndani ya miezi 2.
Penye nia Pana njia. Ni swala la kuamua tu. Kama nia ipo inawezekana.
Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu yanayotishiwa!? Mungu atawafunua kila hila yenu.
Matukio yanayoendelea yanazidi kutudhihirishia nchi yetu imejawa na matapeli na watu waongo.
Watanzania wamekuwa wakililia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa miaka mingi, na madai hayo yamepewa nguvu na msimamo wa CHADEMA kutokubali kuingia kwenye uchaguzi wa kihuni, uchaguzi usio haki...
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
ccm
chama
haramu
katibakatibaya chama
katibayanchi
kubadili
kubadili katiba
kufanya
mabadiliko
mabadiliko ya
mabadiliko yakatiba
mgombea
nchi
njia
wameshindwa
Salaam!
Sasa tushike katiba ya chama au katiba ya nchi kwenye suala hili?
Kwa kuwa mchakato wa kupata mgombea Urais kwenye vyama kulingana na katiba kifungu 38:2A umetaja muda kuanza mambo hayo ni baada ya Bunge kuvunjwa.
Sasa baada ya bunge kuvunjwa rasmi, kumbe ndio maana zoezi la ubunge...
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
Na Mwandishi WETU
HUMPHREY POLEPOLE anafahamika kwa harakati zake kupambana na watu anaowaita wahuni; akimaanisha watu wasiofuata taratibu katika uongozi.
Amewahi kuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Uenezi, Itikadi na Mafunzo.
Huyo ndiye Polepole, ambaye hadi jana mchana – Jumapili ya...
Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza kabisa legitimacy yake ya kikatiba. Limegeuka kuwa a ceremonial rubber-stamp institution, linalotumika...
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Salaam kwako Tundu Lissu uko Gerezani ulipo,Sera yako au yenu Chadema imenifanya nirudie kusoma Mwalimu Julius Nyerere Epilogue of his collective work inayojulikana kama Uhuru na Umoja ili kuweza kujua ama kupata sababu ya Chadema kuja na fikra ya mabadiliko kwenye katiba ama Reformation kwenye...
Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye.
Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye sheria mkononi sana yenye mafundisho binafsi ambayo yenye chuki kuanzia ngazi zote bila kuweka...
Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu:
Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo.
Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.