katiba na sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    Tuendee kuishi tu, tusiulilie wembe

  2. K

    Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 INEC yawataka wasimamizi wa Uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za...
  5. Just Pray

    GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

    Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria...
  6. K

    GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  7. S.M.P2503

    Kuzuiwa kwa CHADEMA kunalisitisha Bunge zima kwa mujibu wa katiba na Sheria za Tanzania

    KUZUIWA KWA CHADEMA KUNALISITISHA BUNGE ZIMA KWA MUJIBU WA KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA Maamuzi ya mahakama yaliyotolewa jana dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwamba kisitishe shughuli zake za kisiasa kwa muda wa siku 14, yameibua maswali mazito ya kikatiba, kisheria na...
  8. S.M.P2503

    Kuisimamisha taasisi kama CHADEMA kutofanya shughuli zake ni kama kulizuia jeshi la polisi kutokufanya kazi – ni maamuzi yasiyo na mantiki kisheria

    Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa kushiriki shughuli za kisiasa, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kujiunga na vyama. Katika andiko hili...
  9. Lord Denning

    PreGE2025 Maswali yangu kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Sheria za Uchaguzi na Demokrasia

    Ukiwa ni mwendelezo wa kuwafanya na kuwaona Watanzania wote kama mazuzu vile, leo Waziri wa Katiba na Sheria amesikika huko Tarime akisema hoja ya No Reforms No Election haina mashiko kwa sababu Marekebisho ya Sheria yalishafanyia ( Reforms zilishafanyika) Ili kumuonesha Waziri Ndumbaro...
  10. A

    PreGE2025 Mbele ya Dr. Biteko, TEC wasema vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe

    Wakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC, Eusebius Nzigilwa amesisitiza umuhimu wa kusikilizwa kwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko...
  11. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika. Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
  13. Upekuzi101

    Serikali please huyu mama atendewe haki, Dorothy Gwajima na waziri wa katiba na sheria ,mna kazi ya kufanya hapa

    Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI kabisa.
  14. Pascal Mayalla

    Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya great minds ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,simple minds nawaombeni kaeni pembeni!, hapa hatu discuss watu!。 Naomba wachangiaji...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Waziri wa Katiba na Sheria (Ndumbaro): Tanzania inaendelea kwa sababu kuna Haki, Usawa na Amani

    Wakuu, Wananchi tuna amani, muda wote ni mwendo wa kububujikwa machozi ya furaha kwa nzuri anayofanya kipenzi chetu Mama Dokta (zitamke mara 9 sikumbuki namba yote) Kipenzi cha Wote Jemedari Amiri Jeshi Mkuu mwenye anaupiga mwingi Samia Suluhu Hassani, au nasema uongo ndugu zangu? :BearLaugh...
Back
Top Bottom