katiba mpya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO

    HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA IPO SIKU WATU WAKO NDIO WANATAKIWA WAELEWE) Waakie Waakiek Waalagwa (pia: Wasi) Waarusha Waassa...
  4. JamiiForums Tanzania Hitaji kubwa la Tanzania ni Katiba Mpya

    Mikutano ya hadhara imeruhusiwa, japo ilizuiwa kinyemela na yule dikteta uchwara. Raisi Samia yupo hapo kwa makusudi mema ya Mungu na kwa mujibu wa katiba japo kifungu hicho cha katiba hakina afya Tena kwa taifa lililo makini. Hatupigi hatua kimaendeleo mpaka Sasa kwa sababu ya katiba mbovu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

    Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wasiopenda Uhuru wa Vyombo vya Habari, Siasa, na Katiba Mpya wana nia gani na Tanzania?

    Group 1. Kuna Watanzania ambao wanaamini nchi yetu inahitaji dikteta ambaye ataendesha nchi kimabavu na kuwa kama Mungu mtu. Dikteta ambaye awe na uwezo wa kufunga yeyote, kuuwa yeyote na kufanya lolote kwasababu yeye ndiye atakayejua nani ni muhimu na manufaa kwa taifa. Huyu mtu Mungu ndiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?

    Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi: Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao? “Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.” Asema Einstein. NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Mbowe kuhusu Katiba Mpya, naunga mkono hoja ya kwamba amelambishwa asali

    Ndugu zanguni, nimemsikiliza Mh. alipokuwa akiwahutubia Wana Diaspora Marekani. Moja kati ya masuala aliyozungumzia ni Katiba mpya. Nilichotambua ni kwamba, kama tutatembea kwenye mawazo yake, Katiba mpya haitapatikana leo wala kesho. Labda kizazi kingine huko mbeleni. Kwa sababu kila...
  18. JamiiForums Tanzania Msekwa: Kwa yanayoendela sasa katiba mpya ni lazima

    "...mabadiriko haya yote ni muhimu yatengenezewe katiba mpya ama tukamilishe ile ama tuanze upya lakini katiba mpya ni muhimu sasa." Pius Msekwa.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Awamu ya Tano wananchi waliridhika na hawakutaka kabisa kusikia habari za Katiba Mpya?

    Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA. Sasa tutakuwa na Katiba ngapi? Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba! Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania na kizungumkuti cha Katiba Mpya

    Habari za saa wanachama wenza wa Jamiiforums natumai ni wazima. Nilikuwa na jambo linalo nitatiza na lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wanachama na jambo lenyewe lina husu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni mpaka sasa hapa taifani kumekuwa na mijadala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…