katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Kama kuna kitu cha msingi kuandamana basi ni kuwepo na mabadiliko kwenye katiba yaruhusu Viongozi kushitakiwa baada ya Madaraka

    Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani. Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kutegemea Katiba Mpya bora chini ya CCM iliyoko madarakani ni sawa na kusema Yanga wasimamie kutungwa sheria mpya za Ligi Kuu baada ya kuwa mabingwa!

    Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja. Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS). RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼 https://www.youtube.com/live/9cpdC61xmgA?si=lcM2ol5EL11NRUhv RECORDED 🎥 (15/06/2024 - Dar Es Salaam)👇...
  4. JamiiForums Tanzania TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  5. JamiiForums Tanzania Umefika wakati Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

    Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue! Pia soma: Kwanini Jakaya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  7. JamiiForums Tanzania Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 bila Katiba mpya ni mwendelezo wa kuchafua uchaguzi kama 2019

    Wakuu habari za wakati. Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote. Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

    Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  12. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mahojiano kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MCL Tido Mhando na Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  13. JamiiForums Tanzania Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya mageuzi ya katiba mpya ya wananchi

    UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo mwongozo na dira ya nchi yoyote . Ili kuwa na mabadiliko chanya na maendeleo katika taifa letu ni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni sasa

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi...
  17. JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Kama tatizo ni muda, Rais Samia aongezewe muda ili tupate Katiba Mpya ndio tufanye Uchaguzi

    Hashim Rungwe Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila kuwa na Katiba mpya. Anasema haamini kama Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi pekee inatosha kuufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Kuelekea uchaguzi 2024/2025 hakuna dalili ya Katiba Mpya hivyo ni muhimu kuweka mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi

    Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini yanatokea, kwa hiyo misingi ni msingi wa kikatiba na msingi wa kisheria, ni dhahiri kwamba hatuoni...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Wananchi hawahitaji Elimu ya Katiba ya Miaka mitatu, mchakato urejeshwe

    https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya. Baadhi ya washiriki wa mjadala ni: Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC Dkt. Willibrod Peter Slaa, Mbunge Mstaafu Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu , ACT-Wazalendo Salma...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanaongelea katiba mpya sisi wa Tanzania tunaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️

    Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…