kasongo

Kasongo, also known as Piani Kasongo, is a town and territory in the Maniema Province in the east of the Democratic Republic of the Congo.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  2. M

    Baada ya mechi ya tarehe 25 Tff itawarejesha Almas Kasongo na M/kiti

    Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu. Nimekaa paleeee
  3. Simba tafadhali wapokeeni Steven Mnguto na Almasi Kasongo, mliwaponza nyinyi.

    Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu. Wapeni...
  4. Kasongo mbona weoooo

    Kasongo ye ye, mobali na ngai Kasongo nga nawe oh, zonga libala eh Kasongo unaahirisha mechi, huku ukijua unavunja kanuni Kasongo unachomeka waamuzi, unalazimisha ubingwa timu moja Kasongo ye ye, mobali na ngai Kasongo nga nawe oh, zonga libala eh Kasongo yo yo, mobali na ngai Kasongo nga nawe...
  5. Uchaguzi 2025: Chagua kuwa Kasongo

    "Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake chagua hekima ya Ngiri."— Alloyce, P.R.
  6. Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  7. Hatuchezi FC, Kasongo anaomba mpeleki barua ya kugoma kucheza

  8. Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  9. Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  10. Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  11. Ili kuokoa soka la Tanzania Kasongo na Boimanda mjiuzulu

    Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi? Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya mazoezi. Nyie hao hao kwenye barua hiyo hiyo mnasema Simba walizuiwa na mabaunsa wanajulikana ni wa...
  12. UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....

    UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO..... Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba. Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi) Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa...
  13. Rais William Ruto: Nyie endeleeni kuniita "Kasongo" tu!

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa kawaida licha ya nafasi yake ya juu serikalini. Pia, Soma; - Rais William Ruto ameorodheshwa kama...
  14. Unaujua wimbo wa Kasongo! Je, unamjua Kasongo na kwanini wimbo huo uliandikwa?

    KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA. Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na kuzikwa kwenye makaburi ya Lang'ata. Alikuwa sehemu ya kikundi cha wanamuziki wa Congo waliohamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…