Ushahidi gani tena wanaokusanya toka kwa wananchi!? Wananchi wasiokuwa waajiriwa wa BoT hivi wanaweza kujua ushahidi wowote kuhusiana na ufisadi uliofanywa ndani ya BoT!?
Wataufahamu vipi ushahidi huo wakati mafisadi wameweka mapesa hayo katika bank accounts za nje ya nchi!? ushahidi wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.