Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha...
Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.
Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.
Hii haina tofauti na...
Selemani Said Bungara 'Bwege' Ameyasema akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025 amesema anakubaliana na hoja zote alizotoa Kapteni Tesha kwani ameongea yaleyale ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wanaharakati wa demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla...
Japo neno kukinukisha linaweza kusababisha mashtaka ya uhaini uchwara, majirani zetu p
Pale chini, Madagascar wamekinukisha. Je, ni ajali kuwa kufanya hivyo kumekuja siku chache baada ya Kapteni John Charles Tesha kukinukisha?
Rais wao Andry Rajoelina amekimbia nchi baada ya kugundua kuwa the...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akijibu Kapteni Tesha baadaya video yake kusambaa mitandaoni, amesema, Watanzania tusithubutu kucheza na maswala yanayohusu Jeshi letu la Ulinzi hiki ni chombo chetu nyeti, ndiyo taasisi yetu ya mwisho ya kuhakikisha mipaka yetu, na sisi tuko salama.
Soma...
Baada ya kuja kindakindaki na kutoa tamko kali, yuko wapi Kapteni John Charles Tesha au lilikuwa zengwe la kututoa kwenye hoja muhimu wakati huu wa kuelekea kwenye uchafuzi?
Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa na usanii! Kweli wamejua kutupata na kutupiga changa la macho, Napiga kelele kimya...
https://youtu.be/H1nHdmCnduI
Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya.
Utangulizi
Jumamosi ya tarehe 4...
Chama changu CCM kimenisikitiisha sana.
Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha?
Yaani hata Murilo Kaufyata!?
Ni huzuni
Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia...
Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika...
Baadhi ya Online media zimeandika taarifa ambayo ikieleza kauli alizozungumza anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikieleza Nchi ya Tanzania ikiwa imefikia pabaya. Lakini inaonekana kama ni maagizo ambayo yametoka na kuanza kukanusha kwamba alichozungumza ni sahihi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.