kapeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Za chini ya kapeti kabisaa yaani ndichi haswaa,,,,

    Kuna jamaa alioa binti mzuri na mkali haswaa mwenye rangi ya umanga. Wamebahatika kupata watoto 4. Shida ni huyo mwanamke kuwa na utaratibu mbaya wa kukopa huku na huko na kushindwa kuzirejesha akimwachia mzigo mumewe. Kisanga kikubwa kabisa ni majuzi kati baada ya mwanamke kutaka kuchukua...
  2. JamiiForums Tanzania Za chini ya kapeti zinasema Stefano Aziz Ki kuukwaa uVP

    Za ndani zinasema kuwa Mzee wetu Aziz Ki anatarajiwa kuwa VP mpya. NB: Nami leo nimeamua kuwapenyezea tetesi, haiwezeiani kila siku britanicca mumsifie ati anajua kupenyeza codes.
  3. JamiiForums Tanzania Picha hii kuna mengi chini ya kapeti

    Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
  4. JamiiForums Tanzania Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

    Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya? Zulia. Kapeti za manyoya
  5. JamiiForums Tanzania Wapi zinauzwa sindano za kushonea kapeti?

    Jamani wakuu naomba mwenye kujua zinakouzwa sindano hizi tuwasiliane ni sindano za kishonea makapeti. Nipo Korogwe Tanga
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Zulia kapeti za 3D...

    Kapeti zulia za 3D Ni nzuri mnoo UKUBWA NI FUTI 6x6 Ninashika tiles safi Ni elf 65,000 tu Karbuni 0628954957
  7. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

    Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi. Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Za chini ya kapeti hichi ndio kikosi cha simba kesho..

    Nikiwa mwanasimba kindaki ndaki nimepokea taarifa kutoka kwa kigogo mmoja ndani ya simba kikosi kitakochoanza ni hiki hapo kesho. 1:Azim dewji 2: Kasaam dewji 3: fatuma dewji 4:ahmed dewji 5: Barbra.. 6:thureya dewji 7: kuruthum dewji 8:mo dewji 9: mobetto 10: monalisa 11: dalali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…