kanuni za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 Jaji Mkuu Masaju: Tutafanya marekebisho kwenye kanuni za Uchaguzi kabla ya tarehe ya Uchaguzi

    Wakuu, Mafunzo ya Namna Bora ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi yaliyokuwa yakitolewa kwa Majaji, Naibu Wasajili na Mahakimu Wakazi Wafawidhi wa Mahakama za Hakimu Mkazi na za Wilaya nchini yamehitimishwa leo, huku Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju akishauri kwamba Kanuni...
  2. S

    Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  3. R

    Kwahiyo Zito na ACT kushinikiza kubadili sheria na kanuni za uchaguzi kwao siyo issue, issue ni kulinda kura?

    Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
  4. Just Pray

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa?

    Na Askofu wa dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake wa Facebook anaandika, DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa...
  5. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Kuzuia Uchaguzi haitakuwa rahisi kama tunavyofikiria, tuliposhauri chama kikasaini kanuni tulifahamu madhara

    " Nchi hii si ya chama kimoja, kwamba wananchi wote ni CHADEMA wako wa vyama vingine wanaenda kwenye uchaguzi, unaposema tuende barabarani kuzuia uchaguzi, unakwenda kuwazuia hawa wananchi wanaoenda kupiga kura au unaenda kumzuia nani? Kwa sababu huko barabarani utakutana na wale wa vyama...
  6. J

    PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Akizungumza leo kwenye mkutano wake na vyombo vya habari, John Mrema amesema: "Leo kama ukikosolewa ndani ya chama unawaza kufukuza wanachama wako, tena watiania wabunge waliofanya chama hiki kinapata ruzuku kisa wanatoa maoni na mawazo mbadala hivi ukipewa dola utasikiliza wapinzani wako...
  7. mshale21

    Kanuni za uchaguzi wa 2025 zimewekwa makusudi kupora haki ya wanachi kuchagua

    Wakuu Salaam za pasaka kutoka viunga vya Tanzania! Bila kuwachosha, mada tajwa hapo juu yajieleza. Mimi binafsi sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura, maana ni kijipotezea fedha na muda wa kupata fedha. Mwisho, amani ya Bwana wetu kristo Yesu iwe nanyi.
  8. Q

    PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

    Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
  9. S

    PreGE2025 Ubinafsi umefanya vyama vya siasa kutotumia nafasi ya kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi kuwalazimisha CCM kukaa nao mezani na kubadili kanuni

    Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Amani Golugwa: CHADEMA kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, tupo sawa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa. “Tunaona tunaenda sawa kabisa na watu...
  11. B

    ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  12. The Palm Beach

    PreGE2025 Jeremiah Maganja mgombea u - Rais NCCR Mageuzi 2020: Ashangaa kanuni za maadili ya uchaguzi kusainiwa kabla ya wakati na kwa kukusanya vyama pamoja

    https://youtu.be/me1JGU0NJaI?si=sO6f7TbfyzSezwww ➡Yeyote anayeweza kumsikiliza huyu mzee, na bado anaamini kuwa Tanzania kuna chaguzi, anaweza kubadili mawazo yake haraka sana na kuanza kupigania mabadiliko ya kupata mfumo bora na wa haki wa chaguzi zetu... ➡Ameshangaa kwa vyama vya siasa...
Back
Top Bottom