kanuni za maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  2. Z

    GE2025 CHADEWA imejiondoa yenyewe kushiri uchaguzi Mkuu, haikuondolewa na tume wala Rais. Ilisusia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi kwa kiburi tu

    Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema kushiriki, wanajisahaulisha kuwa Chadema wao wenyewe kwa maksudi na jeuri waliamua kutokushiriki...
  3. Parabolic

    GE2025 Mahakama yatupa maombi kupinga kanuni za maadili uchaguzi mkuu 2025

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Watanzania wawili, Kumbusho Kagine na Bubelwa Kaiza, waliokuwa wakiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025. Soma pia: Waishitaki INEC wakitaka irekebishe kanuni za maadili...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
  5. I

    PreGE2025 Je, kanuni za maadili ya uchaguzi wa mwaka 2025 ni nini? Kati ya nidhamu au udhalimu wa kisheria

    Je, KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 NI NINI? KATI YA NIDHAMU AU UDHALIMU WA KISHERIA I. DHANA YA MSINGI KANUNI ZINAZOVAA NGOZI YA DEMOKRASIA Kanuni hizi zinasisitiza maadili kama chombo cha kulinda uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Lakini kama Mtanzania ninatoa onyo: "Si kila...
  6. Z

    Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu. Jambo hilo sio tu...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Wakili Ndelwa: Mahakama pekee ndiyo ilitakiwa itoe tafsiri kuhusu kusaini kanuni za uchaguzi

    Kipindi cha Cafe Talk kimefanya mahojiano kutoka watangazaji wa vipindi mbalimbali nchini kuhusiana na kanuni za Tume huru za uchaguzi ambao unatarajiwa kifanyika mwaka huu mwezi wa kumi. Ambapo wakili Lwijiso Ndelwa alitolea ufafanuzi kuhusu kanuni za uchagguzi na kueleza kuwa anayepaswa kutoa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumesaini kwa shuruti kanuni za maadili lakini kuna vifungu haviko sawa

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pamoja na kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu kwa mujibu wa sharia zilizopo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hata hivyo wamebaini kuwa, kuna baadhi ya vifungu havikuwa sawa na wamepeleka shauri mahakamani kupinga vifungu...
  9. DR Mambo Jambo

    VIDEO: HALIMA Mdee amekiri CHADEMA wako sahihi kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Sheria na Katiba

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Kwanini video ya zoezi la kusaini kanuni za maadili imefutwa katika chaneli ya Tume - Uchaguzi TV? Kasoro za kanuni ni chanzo?

    Wakuu, Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry, video imeondolewa? Spana za wananchi na upinzani juu ya kanuni hizo zimechangia Tume kujishtukia...
  11. bab-D

    Mwenye nakala ya kanuni za maadili ya uchaguzi atusaidie

    Habari wakuu nimesikia mjadara sehemu wa sheria ya maadiri inataja vitu vifuatavyo 1, chama cha siasa au mgombea anaweza kusain fom ya maadili muda wowote kabla ya kampeni kuanza 2, uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa vyama vyote ,itahesabika chama kimekubaliana na masharti kikitoa kauri ya...
  12. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinakuwaje na nguvu kuliko katiba?

    Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama vyote ili vyama hivyo vipate sifa ya kuja kushiriki uchaguzi miezi sita ijayo! Tangu lini kusaini...
  13. B

    ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  14. A

    John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

    Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu. Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme ——————— Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1). Kifungu cha 162(1) kinaeleza Tume baada ya kushauriana na vyama vyote vya siasa na Serikali itandaa na kuchapisha katika Gazeti la...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu Mkuu UDP ajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia katika Hafla ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi mjini Dodoma

    Wakuu Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Rashid, kajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia kwa kusema "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." wakati wa hafla ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi mjini Dodoma hapo jana Aprili 12. Mkiitwa CCM B msikasirike! Salamu ya...
  16. Komeo Lachuma

    PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
Back
Top Bottom