kanisa gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shauri la Kanisa la Gwajima laondolewa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imeondoa shauri la awali lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Maombi ya kuondoa shauri hilo yaliwasilishwa na waleta maombi...
  2. Jeshi la Polisi laimarisha Ulinzi Ubungo, Kibo kufuatia tishio la Vurugu baada ya Ibada

    Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne, kueleza kuwa kumekuwa na taarifa za baadhi ya...
  3. Ushauri wangu Kwa Waumini wa UFUNUO NA UZIMA: Msirudi nyuma, YESU alikufa kwaajili yetu, KUFA Kwa ajili ya YESU ni Tiketi ya Uzima wa Milele !!

    Maandiko matakatifu kutoka Kwa YESU mwenyewe alionya kuhusu siku za mwisho, YESU akasema "Yoyote atakayeipenda Nafasi yake ataangamia, Na yeyote atakayeitoa Nafasi yake Kwa ajili yangu ataurithi Uzima wa Milele". Maisha ya Duniani ni mapito tu , Kuishi na Kufa bila Kristo ni Hasara ...
  4. Baada ya kudhibitiwa na Polisi, waumini wa Askofu Gwajima waibukia kwenye Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki kuendelea na Ibada

    Baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti eneo lote la pembezoni mwa barabara ya kutoka Ubungo Maji hadi Kibo kutawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, waumini hao wameibukia kwenye Kanisa la Kiluthel Afrika Mashariki (KKAM) na kuendelea na ibada. Kanisa hilo lipo...
  5. Kanisa la Gwajima bado lipo chini ya ulinzi mkali

    Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church lililopo Ubungo Kibo Dar Es Salaam bado limeendelea kuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi baada ya zuio la waumini wa kanisa hilo kusali kanisani hapo. Nje ya kanisa na maeneo jirani hasa yale yaliyotumika kufanya ibada baada ya...
  6. Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…