kanisa gwajima lafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  2. B

    Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Kuna askari zaidi ya 40 wenye uniform wana bunduki wamezingira kanisa upande wa barabara na wengine kwa nyuma, kuna wenye uniform na wengine wamevaa kiraia, pia kuna magari ya polisi zaidi ya kumi. Pamoja na polisi wote hao, waumini hawajaondoka, wamekaa chini ng'ambo ya barabara. Hivi ni...
  3. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!

    Watu aminaaaaaaaaaaa Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani. Gwajima: Nafikiri umeona kwenye mtandao watu wanapitisha karatasi kwamba kanisa...
Back
Top Bottom