kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za maendeleo zinazoletwa na chama hicho.
  3. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa uzalishaji mazao kulingana na kanda za kilimo za kiikolojia juni 2017

    MUHTASARI Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani ya kanda hizo kuu saba, zipo Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kila siku jioni ikifika nakwenda kushuhia hii kitu baridii, maalumu kwa kanda yetu

    Unapata supu la sato na ugali muhogo au supu la kuku na ugali muhogo kisha unashushia. Hili kitu nina likubali ni mahusui kwa kanda yetu. Likiwa la baridi linapanda kibabe.
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Habari za majukumu wakuu! Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara. Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business. •Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo. •Maeneo(vijiji) haswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…