kamwe

Kamwe also spelt Kamue) is a Chadic language autochthonous to Adamawa State, Borno State of Nigeria and North Western Cameroon.
In Nigeria about 80 percent of the Kamwe people are found in Michika Local Government Area of Adamawa State, Nigeria. They are also found in Mubi North, Hong, Gombi, Song and Madagali local governments in Adamawa State. The Kamwe people are also found in Borno State, especially in Askira/Uba and Gwoza local government areas
Blench (2019) lists Mukta of Mukta village, Adamawa State as part of the Kamwe cluster.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  3. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  5. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  6. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kamwe huwezi kuangalia porno mwenyewe bila kupiga punyeto

    ni asilimia 1 tu ya wanaume walio na access ya kuangalia porno kila siku ama kila saa bila kujichua.ulidanganywa ulipoambiwa picha za ngono ni kwa ajili ya kujifunza style za tendo la ndoa. Porno ni kwa ajili ya ku stimulate.Na wengi sana hujichua ndani ya maofisi,ndani ya vyumba vyao na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Tunaujua Ubora wa Kocha wa Simba

    Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno. Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
  8. JamiiForums Tanzania Ali kamwe najua ulikuja mafia alhamis umeondoka ijumaa ila safari hii mambo tofauti

    Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa Karibuni mafai
  9. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

    Ndugu salam Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo Nayasema haya kwasababu 1: Wanawake wa sasa kwenye uchumba wanakuonyesha ni wema kumbe ndani yao ni chui...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

    Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu. BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN...
  12. JamiiForums Tanzania Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

    Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi. Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau. Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Ally Kamwe kuzirai, kitabibu alipaswa kubadilishiwa majukumu

    Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  15. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  18. JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  20. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Ally Kamwe ateuliwa Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania kuwa Balozi wa kutangaza kuelimisha kuhusu fursa za zabuni kidigitali

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni kidigital na kurahisisha michakato ya ununuzi pamoja na kuondoa Janja janja katika ununuzi wa UMMA. PPRA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…