kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CAG: TSh. milioni 140 ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na Mkataba uliosainiwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa. Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

    Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona. Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services. Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia. Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
  3. JamiiForums Tanzania Kampuni gani inasafirisha bidhaa kutoka China?

    Mambo vipi wadau, Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon. Kwa mwenye kujua na utaratibu wake atakua amenisaidia sana. Nawatakia siku njema.
  4. JamiiForums Tanzania Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji. Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
  5. JamiiForums Tanzania Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

    Habari wana JF, Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania - Je, ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania? -Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au...
  6. JamiiForums Tanzania Faida/hasara za kutaja mtaji mkubwa/mdogo wakati wa usajili wa kampuni

    Habari wana jukwaa, Naomba kueleweshwa: Natarajia kusajili kampuni na hivyo nimefuatilia taarifa zote za msingi kuhusu hatua za kufuata ili niweze kufikia lengo. Hatua mojawapo ni ya kulipia ada ya usajili ambayo inategemea kiwango cha mtaji nilichonacho; pasipo kujali ikiwa mtaji huo ninao in...
  7. JamiiForums Tanzania Kufungua kampuni ya utalii

    Naomba mwongozo iwapo nataka kuanzisha biashara ya Utalii, mambo gani ni ya muhimu kuyazingatia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…