kampuni za mikopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eng Kimox Kimokole

    Kushtaki Kampuni za Mikopo (Microfinance)

    Habari wanaJF? Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano. Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya. Je! Kuna namna...
  2. dorge

    Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  3. Poluyakhtov

    Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  4. N

    DOKEZO Responded Mamlaka kuchelewa kuzichukulia hatua kwa wakati 'kampuni bubu za upatu', Je wanachelewa kupata taarifa au?

    Katika kipindi ambacho teknolojia inaendelea kukua kumekuwepo na ongezeko la michezo mingi ya upatu hasa kupitia mitandao (digital platforms), katika michezo hiyo kumekuwepo na ugumu wa kutambua ni kampuni zipi zenye usajili halali jambo ambalo limekuwa gumu kuwaondoa watu wengi kwenye mtego wa...
Back
Top Bottom