Kama ulipata kutazama tamthilia ya Money Heist basi jina la Álvaro Morte sio geni masikioni kwani huyu ndio alikuwa Mastermind kupita maelezo wa michongo yote ya kupiga pesa, Morte tunamfahamu kama The Professor ambaye alikuwa mbele ya muda kila wakati kiasi kwamba maafisa usalama walipata...
Kampuni ya Throne Bet yatokomea na mamilioni ya fedha za wateja wake baada ya kusitisha huduma za mtandanoni bila taarifa
Wimbi la sintofahamu limewakumba mamia ya wateja wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya mtandaoni, Throne Bet, baada ya kampuni hiyo kusitisha ghafla huduma zake bila kutoa...
Salaam! Wakuu..
Juzi kati hapa nilideposit kiasi Cha pesa kupitia mtandao wa simu wa Tigopesa Kwenda kwenye akaunti yangu ya kufanya bashiri (Kampuni Hela Bet) Sasa hiyo FEDHA ikakatwa kwenye mtandao wa simu lakini kwenye akaunti yangu ya Hela Bet pesa haiko.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.