kampeni uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 Alex Msama: Kati ya watu Milioni 60, Milioni 1 tu ndo wanajifanya hawampendi Samia

    Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50...
  2. Mindyou

    GE2025 James Mbowe: Mkinichagua kila mmoja atanufaika na Mlima Kilimanjaro

    Wakuu, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia CHAUMMA, James Mbowe amesema endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa Hai, atahakikisha vijana wa kata zote 17 za Jimbo hilo wananufaika moja kwa moja na fursa zinazotokana na Mlima Kilimanjaro. Ameeleza kuwa atatenga fedha za asilimia 10 za Halmashauri...
  3. McLaren

    GE2025 Mgombea wa Urais NLD: Mkinichagua barabara zenu zitajengwa kwa zege na sio lami

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo, akiwa katika ziara za kampeni Wilaya ya Serengeti, aliwahutubia wakazi wa Mji wa Mugumu. Katika hotuba yake, Mhe. Doyo alisema kuwa ni fedheha kwa wananchi wa Serengeti kukosa miundombinu bora ya...
  4. Roving Journalist

    GE2025 ACT Wanazungumza na Wanahabari leo Saa Sita Mchana, Septemba 22, 2025

    Awali Mkutano huu ulikuwa ufanyike Saa Tano Asubuhi, umesogezwa mbele hadi Saa Sita Mchana, leo Septemba 22, 2025 kwenye Ukumbi wa Maalim Seif ndani ya Jengo la ACT Wazalendo Jijiji Dar es Salaam.
  5. R

    GE2025 Sheria inasemaje juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za Uchaguzi? Maana CCM sasa imefika mbali

    Tume huru ya uchaguzi Tanzania inatgkiwa itoe ufafanuzi wa kanuni na sheria juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za siasa Sidhani kama hawa watoto wanauelewa wa chochote ========= Mkutano Wa Uzinduzi wa Kampeni Za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata Ya Vingunguti, na meya wa jiji la dar ameeleza...
  6. alexjosephat

    GE2025 Komesha ahadi feki kipindi cha kugombea

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  7. chiembe

    Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

    Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa...
Back
Top Bottom