Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria.
(me na ke).
Chama hiki kilianzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru...
Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini...
Wakuu habari! Poleni na majukumu na hongereni pia.... Nimepewa ruhusa na mhusika wa tukio hili niweze kushare humu ndani kisa kilichomtokea kutoka Kwa Binti aliyemuoa yapata miezi mitano Sasa.
Nina Jamaa angu ni mwenyeji wa Mara Lakini kwasasa anaishi Mbeya na tunaishi Naye Kwenye apartment za...
Mara kadhaa humu JF huwa naona comment za wadau wakisifia wanawake wa kitusi
Nawaambia ukweli ndugu zanguni wale sio wife material, sijaishi Rwanda waka burundi ila hao wanawake wamejaa kuanzia Kahama, Ushirombo, Runzewe, Ngara, Karagwe, Biharamulo, hayo maeneo nimevuruga sana nilichobaini ni...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mama Ayubu mkazi wa mtaa wa Banda mbili Kata ya Sombetini Jijini Arusha, anadaiwa amemuua mume wake aitwae Daudi Estomii (45) ikiwa ni baada ya kuwepo kwa tuhuma za muda mrefu kuwa amekuwa akimpiga mwanaume huyo pindi anaporejea nyumbani nyakati za usiku huku...
Habarini,
Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye macho ya wanaume kuanzia miaka 17, thamani yao inakua kwenye peak kati ya miaka 18-23 (kwenye hiki...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
Ndoa ya mke mmoja na mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.