Wakuu,
Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana.
Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia
🔹 Magonjwa yenye gharama kubwa mara nyingi ni kama vile:
Saratani (cancer)
Magonjwa ya moyo
Upandikizaji wa figo na matatizo ya figo
Upasuaji mkubwa
Magonjwa ya kurithi na yasiyoambukiza ambayo yanahitaji tiba ya muda mrefu
🔹 Umuhimu wake kwa jamii:
1. Kupunguza vifo – wagonjwa wengi...
Kwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya.
Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na...