Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini
-----------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Moshi Mjini zimepamba moto na matembezi kuelekea Uwanja wa Mashujaa yamefana
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, ameeleza jinsi atakavyokuwa mbunge wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa atawakilisha jimbo ambalo ni makao makuu ya Afrika Mashariki na lenye shughuli nyingi za utalii
Kauli hiyo imetolewa Septemba 30, 2025, Jijini...
MGOMBEA Udiwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mwanga Kusini mkoani Kigoma Mussa Maulid amezindua kampeni yake kwa kuwaomba wakazi hao wampigie kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mtindo wa kurundika.
Maulid alisema wakazi hao...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara za kampeni mkoani Kilimanjaro ambapo leo Septemba 30, 2025 anafanya kampeni katika Wilaya ya Same, huku vijana wa Moshi Mjini wakieleza kuwa wako tayari kumpokea na kuhudhuria mkutano wa kampeni...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema dhamira ya serikali ya awamu ya sita ni kuhakikisha akina mama wanajifungua salama bila kupoteza maisha, akisisitiza kuwa kuleta maisha mapya isiwe sababu ya kifo cha mama...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea Udiwani kata ya Mchikichi Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Bilal Juma (Shetta) ameandika:
"Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu zangu watanzania !
Kwa kujitokeza kwa wingi tarehe 29 oktoba tukapige kura kwa amani tukawachague...
Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa amewapokea wanachama kutoka vyama mbalimbali vya upinzani ambao wamejiunga na CCM wakati akinadi sera zake katika Kata ya Sapiwi
Wanachama hao wanatoka Chadema, ACT- Wazalendo, UDP pamoja na CHAUMMA...
Mgombea udiwani kata ya Vibaoni halmashauri ya Mji Handeni mkoani Tanga Marry Chambuya amewaahidi wananchi wa eneo hilo endapo watampa ridhaa ya kuwa diwani wao kwa kumchagua,atasimamia kupatikana kwa kituo cha mabasi jambo ambalo ni moja ya changamoto yao
Akizungumza kwenye mkutano wake...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo uliofanywa na CCM, chama hicho kinakuwa chama pekee kinachofaa kuendelea kuongoza nchi
Paresso ambaye alikuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na kwa muda mrefu kada wa CHADEMA kabla ya...
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC
Ingekuwa vyema pia akiweuka akili kidogo kwa kupambania Maslahi ya nchi yake na siyo kupamba mtu anayesimamia kuporomoka...
Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya...
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Songea Mkoa wa Ruvuma wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 uchaguzi wa Rais, wabunge pamoja na madiwani
Wengi wao wameonyesha kumkubali Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan wakieleza yale...
Nikiwa mwanafunzi Shule ya Msingi adhabu kubwa tuliyokuwa tukipewa kama wapiga kelele ilikuwa kupiga magoti kwenye kokoto alafu ni kwenye jua, nilidhani ni kwa sababu sisi ni watoto ndo maana tunapewa adhabu hiyo ila leo katika umri huu wa utu uzima naona ndugu zake Lucas Mwashambwa wanasujudu...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika uwanja wa Veta Songea Mkoani Ruvuma Kwaajili ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo ikiwa ni muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
Septemba 21, 2025 Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na makada wa chama hicho wakiongozwa na mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi mjini, Kundo Andrew Methew wamefanya maandamano ya amani kwa lengo la kuhamasisha wananchi kumchagua rais Samia Suluhu hassan kutokana na utekelezaji wa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya sita imeanza mpango wa ujenzi wa reli ya zaidi ya Kilomita 1,000 kutoka Mtwara mpaka Mbamba Bay mkoani Ruvuma.
Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania.
Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...