Wakuu
Mahubiri ya amani yanaendelea nchini. Nimeona huko Iringa madereva bajaji wamekusanywa na Polisi na kuanza kupewa mawaidha kuhusu umuhimu wa amani
Binafsi sijawahi kuona such stress kwenye amani nchini kama kipindi hiki, kwani kuna nini?
=========================================...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kuhusu hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa mkoa uko salama na hauna tishio lolote la kiusalama.
Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani akijibu kuhusu hatua watakazochukua katika kulinda usalama katika vituo vya kupiga kura amesema hatua ya kwanza ni kutoa elimu kwa wapiga kura kufuata masharti elekezi, kuwa na polisi wa kusimamia kituo. Pia...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, leo ameshiriki ibada maalum na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Ngarenaro, lililopo katika Kata ya Ngarenaro, Jimbo la Arusha Mjini. Katika ibada hiyo ya...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kuwa kampeni rasmi za uchaguzi mkuu wa 2025 zilianza Agosti 28, 2025 na zinatarajiwa kukamilika Oktoba 27, 2025, siku mbili kabla ya kupiga kura.
Kwa hiyo, kisheria vyama vyote vilikuwa na muda sawa wa kujinadi kwa wapiga kura. Lakini kiuhalisia...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na kampeni katika mikoa mbalimbali, na kwa sasa wametia mguu wao huku Kanda ya Ziwa.
Ukiachana na mambo kadhaa yanayoacha tafakuri kuhusu mwenendo mzima wa kampeni, yapo mambo mawili yanayonifanya nijikune kichwa, kama siyo kushika tama.
UKWASI WA MAKONDA...
Mgombea ubunge wa Mtambile, Zanzibar, Mohamed Abdallah Kassim amewaomba wananachi kutunza amani kwa sababu ni tunu muhimu ya taifa ambalo wanapaswa kuilinda ili kufanikisha maendeleo na ustawi wa kila mmoja.
Amesema hayo leo, Septemba 27, 2025, wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM za...
Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga ambaye sasa ni Mbunge Mteule wa Viti Maalum Vijana wa CCM Zanzibar, Zainab Abdallah, amewaomba wananchi wa Jimbo la Mtambile, Mkoa wa Kusini Pemba, kumpa kura za kishindo mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Mohamed Abdallah Kassim...
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)
1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
2. Serikali...
Kila Jambo ishirikishe nafsi yako sio wapambe
Nawaambie enyi warafi wa madaraka na wapambe wenu Kama hamtanisikiliza mtakufa kabla, ndani au baada ya uchaguzi.
Uongozi mzuri utoka kwa mwenyezi Mungu sio mwanadamu kwa kusimikwa.
Hakika nawaambia mtaanguka na kufa na wapambe wenu kuwakana na...
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Akiwa katika ziara yake, Katambi alikutana na Wajumbe wa CCM wa Kata ya...
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za uchonganishi ambazo tayari baadhi ya watu wamedaiwa kuanza kupita mtaani kuomba kura badala yake...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Joseph Masunga amekemea vikali tabia inayofanywa na baadhi ya viongozi kufanya kampeni za chini chini kabla ya wakati kwani ni kinyume na Sheria za uchaguzi.
"Tunaelekea kwenye Uchaguzi ambao utafanyika Oktoba mwaka huu zipo tetesi kwamba kuna watu wanapita...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..!
Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
Wakuu,
Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa?
=====
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) amekasirishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa...
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa likiendelea nchini, wakazi wa Mtaa wa Kambarage mjini Njombe wameomba kampeni za kistaarabu zisizo na lugha za matusi pindi zitakapoanza.
Wananchi hao wamesisitiza umuhimu wa kampeni zenye kujenga umoja na...
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025.
Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Makalla amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.