Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote.
Karibu inbox tuyajenge...
Asante