Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini.
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili.
Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025.
Kikao hicho kimeitishwa kipindi ambacho chama hicho kinapitia misukosuko ikiwemo ya mwenyekiti wake, Tundu Lissu kuwa gerezani akikabiliwa na kesi mbili ya uhaini na ya...
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu...
Wakuu,
Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo lilileta maswali mengi mtandaoni na vijiwe vya kisiasa kila mmoja akisema lake.
Hatimae jana Machi...
Wakuu
Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia.
Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa nani.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje.
Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama?
Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM.
Soma...
Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema
Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei
Star tv
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama.
Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
Wakuu,
Wenje amesema kuwa Dkt Slaa kupitia kitabu chake cha "Nyuma Ya Pazia" alisema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi hivyo kuleta uezekano wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama kwa tuhuma za ugaidi.
Wenje amesema kuwa inakuwaje Lissu na Lema wanataka kumrudisha mtu kama Dkt Slaa kwenye...
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
Wakuu
Vipi tusiamini vicheko😀?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA
Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea watakaopenya kwenye Mchujo huo kabambe mithili ya Kupita kwenye Tundu la Sindano
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu.
Inawezekana itaonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu wanaoamini kwenye kufanya mambo kimazoea, lakini ukweli ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA imepoteza kabisa uhalali wa kuchuja wagombea kwenye uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.