kafulila

David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kafulila anajiamini nini?

    Ndg zangu nimekutana na taarifa hii muhimu ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwakweli nimeshtuka kidogo na kujiuliza huyu bwana anajiamini nini kukubali kukabiliana na hawa wasomi? Kwa wale wachache wanayo ifahamu vizuri historia ya Taifa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure Kwa kafulila!!

    David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo. Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Deni la TZS97T ni stahimilivu kwa Vipindi vyote

    https://youtu.be/gjrrbUm9Xgg?si=wlBvnC5Dg4FuVziw Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amesema deni la Tanzania ni stahimilivu kwa Vipindi vyote,
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kafulila acha kupotosha JF na data za uongo

    Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo. Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;- Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
  7. JamiiForums Tanzania Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

    Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi. Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila utuelewe; hatukatai kununua umeme japo tuna ziada ya uzalishaji; hofu yetu ni kuambiwa tuna transmission cost kubwa na mbadala ni Ethiopia

    Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kafulila umejijengea kaheshima flani hivi, nakushauri acha ku comment kila kitu

    Hivi karibuni nikekuwa nikimuona mdogo wangu Kafulila akitoa maoni yake kwenye kila kitu uenda ni kutokana na nafasi yake ya Ex. Director wa PPPC ndiyo maana anakuwa na munkari ya kuongea sana. Ila hekima ni pale unapotulia na kutoa ufafanuzi wenye busara na logic. Suala la serikali kununua...
  10. JamiiForums Tanzania Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  11. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  12. JamiiForums Tanzania Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  13. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kafulila hayo unayofanya yatakufikisha pakubwa baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Pamoja na kuvurunda na kuendesha uwekezaji kienyeji na kutokuwa na mpango unaoeleweka vizuri wa PPPP, siasa unazofanya kumpamba mama zitakufanya upate cheo kikubwa baada ya uchaguzi wa mwezi October lakini watanzania watabaki wameambulia hewa tupu.
  16. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

    === Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn...
  17. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

    === Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania, Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

    Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with the private sector's expertise. How do PPPs work in Tanzania? The private sector renovates...
  19. JamiiForums Tanzania David Kafulila ni mwanasiasa au mtumishi wa serikali?

    Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa. Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…