kada wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ninasikitishwa na Kuumizwa sana Napoona SATIVA kada wa CHADEMA Akitukana Matusi na kudhalilisha Viongozi wetu. Ningekuwa na Uwezo Ningemkamata

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli naumizwa , kusikitishwa na kusononeshwa sana kuona ,kusoma matusi anayotukana kada wa CHADEMA aitwaye SATIVA. Huyu mtu amekuwa akitukana matusi machafu sana viongozi wetu. Amekuwa akiwadhalilisha kwa kila aina ya lugha chafu na za kutweza viongozi wetu wa...
  2. McLaren

    PostGE2025 Odero Charles kwa Warioba: Tusiligawe Taifa kwa sababu za kisiasa

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Odero Charles Odero, amewataka viongozi wa kisiasa nchini kutumia kauli zinazojenga umoja, faraja na matumaini kwa wananchi, hususan katika kipindi ambacho taifa linapitia changamoto mbalimbali...
  3. Mafyangula

    PostGE2025 Kada wa CHADEMA, Joseph Mwasote anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tangu Oktoba

    Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo mbalimbali bila mafanikio. Oktoba 29, 2025 mwanae aitwae Stephano akaamua kuandamana kama sehemu ya...
  4. Poppy Hatonn

    Kada wa CHADEMA aliyempiga teke askari wa FFU amejiletea adui wengi na rafiki wengi

    Hatujaona ushujaa kama ule,askari mmoja kapigwa teke, mwingine kapigwa ngumi. Lakini yule mtu alikuwa cornered. He was fighting his way out. Lakini kama alivyosema Afande Muliro,ukumbi ulikuwa umeshajaa kwa hiyo wale wa kule nje uwepo wao ulikuwa ni kuleta fujo . Mi bado ningependa kuona haya...
  5. Just Pray

    GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi Wathibitisha Kukamatwa kwa Lucy Shayo kada wa CHADEMA na Stephan Simchimba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeona taarifa inayo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kukamatwa kwa Lucy Shayo. Tunasititiza kuwa ni kweli Lucy Simon Shayo (32), mkulima na mkazi wa Ruaha Mbuyuni Mkoa wa Iringa, pamoja na Stephan Godwel Simchimba (41), mkazi wa Tanga, wamekamatwa na...
  7. Just Pray

    GE2025 Jeshi la Polisi Mbeya limewakamata makada sita wa CHADEMA kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali

    TAARIFA KWA UMMA WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
  8. Idugunde

    GE2025 Huyu ndie Paul L Fulano. Kada wa CHADEMA ambaye kama hakuna wizi wa kura lazima awe mbunge wa Sengerema

    Huyu ndie Mwamba wa Chadema Sengerema.
  9. R

    GE2025 Kada mwingine wa CHADEMA, Dorcas Francis ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Jimbo la Kawe, Dorcas Francis amehama rasmi leo Agosti 15, 2025 na kutangaza kuhamia chama cha CHAUMMA na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu w chama hicho, Benson Kigaila Chanzo: Mwanzo TV Plus
  10. M

    Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  11. MIMI BABA YENU

    PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

    Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri. Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
  12. Mindyou

    PreGE2025 Kada wa CHADEMA Elia Evarist: Toyota anayoendesha Heche amenunuliwa na kada wa CCM. Kadi ya hiyo gari inasoma jina la mke wa Waziri

    Wakuu, Kumbe Heche anaendesha gari ambalo amenunuliwa na kada wa CCM na mlikuwa hamsemi? Huyu kada wa CHADEMA amesema kuwa gari aina ya Toyota ambalo anaendesha Heche kwa sasa amenunuliwa na kada wa CCM na kwamba hata kadi ya hiyo gari inasoma jina la mke wa huyo Waziri ambaye ndo amenunua...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

    Wakuu Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya...
  14. M

    PreGE2025 Anaandika Mchome kada wa CHADEMA

    Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda, aliyetangaza kuwania urais, alimwa barua

    Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili. Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election? == Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
  18. M

    Viongozi wa Kitaifa CHADEMA wamwagia sifa Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel wakati wa mazishi ya Derick Magoma

    Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa juhudi zake za kusaidia katika kipindi cha matibu ya Derick Magoma. Katika ibaada hiyo Mwenyekiti wa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama. Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse...
  20. Rula ya Mafisadi

    Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
Back
Top Bottom