Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Siku 9 kwenda D9
Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei
Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao
Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema.
Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa...
Habari za leo!
1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana.
2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu.
3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka.
4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye.
Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini?
Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
GT
Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo.
Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
Kwa wenye akili timamu, hapa hakuna maridhiano
Ikiwa viongozi wa dini mbalimbali, mzee warioba na wadau mbalimbali walisisitiza kuwepo na maridhiano kabla ya uchaguzi na hawakusikilizwa, ni kwanini jumuiya ya madora haikuona umuhimu wa kushinikiza maridhiano kabla ya uchaguzi na badala yake...
Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha.
"Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi...
Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari.
- Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania.
- Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest
Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k.
Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.
Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
Wanabodi,
1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao.
2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike.
3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe.
4. Waliohusika kupiga risasi raia wa...
Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais.
Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.
Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.
Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...