Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Samuel Malecela, amekemea vikali tabia ya kuwatukana Viongozi wa Dini, akieleza kuwa ni ukosefu mkubwa wa adabu, maadili na ustaarabu usiovumilika katika jamii. Amesisitiza kuwa hakuna sababu wala tofauti za maoni...
Shule ya Meta secondary iliyopo mkoa wa Mbeya inayomilikiwa na CCM kupitia jumuiya ya wazazi imezulumu watumishi wake pesa za mishahara na marupurupu mengine zaidi ya watumishi 80 wanahaha kuzipata pesa zao bila mafanikio wanaishia kutishia ili wasidai pesa zao
Na kwa sasa idadi ya wanafunzi...
Jumuiya ya wazazi ya chama Cha Mapinduzi (CCM) imetangaza matokeo ya uchaguzi wa wabunge na wa wakilishi wa Jumuiya hiyo huku Catherine Joachim akijinyakulia ushindi kwa nafasi ya ubunge Tanzania Bara kwa kujizolea kura 597 akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu Khadija Shabani aliyepata kura...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, amesema baadhi ya watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, hasa ubunge, wamekuwa wakieneza tuhuma za uongo dhidi yake ili kujipatia nafasi hizo.
Akizungumza katika mazishi ya Jackson Yuma, aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini.
Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi...
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi mambo waliyoyatimiza katika kipindi chao cha uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika.
Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesema bila kujali kauli ambazo zinatolewa na vyama vingine, Wao wapo tayari kwa uchaguzi na wamejiandaa vilivyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM) Fadhili Maganya amesema hayo jijini Arusha katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea...
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya, amewataka baadhi ya watia nia wa nafasi za uongozi kupitia chama hicho kuacha kuwadanganya wananchi kwa kudai wamepewa maelekezo kutoka juu ya kugombea.
Amesisitiza kuwa madai hayo ni kinyume na utaratibu wa chama, na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia
====
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
===...
Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo?
==================
Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
Kwa kweli inashangaza jinsi CCM ilivyogeuka na kuwa chama kisichojali habari za wananchi.
Inashangaza nchi hii ina Rais mwanamke, ina Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) ina jumuia ya wazazi lakini leo hii wote hao wanashindwa kutoa kauli kukemea kauli ya kifedhuli, ya kibaradhuli na ya kibri...
Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri.
Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu, Gilbert Kalima kumekuwa pigo kubwa sana kwa shule za wazazi na CCM. kwa sasa shule zimebakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.