jumuiya ya madola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola

    Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
  3. JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula ataka migogoro katika Nchi za Jumuiya ya Madola imalizwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika kiti cha Tanzania wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola kukutana Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili

    Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19. Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Kagame akabidhiwa Rungu Uenyekiti Jumuiya ya Madola

    From 20 to 25 June 2022, Rwanda will host the 2022 Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM). The meeting was due to be held in 2020 but has been delayed twice due to the Covid-19 pandemic. This will be the first in-person meeting of Commonwealth leaders since the London CHOGM in 2018...
  6. JamiiForums Tanzania Kambi ya TAIFA ya Jumuiya ya Madola ya Riadha Yasambaratika, Serikali Yashindwa kulipa

    Kwa mara ya kwanza kambi ya Riadha iliwekwa West Kilimanjaro, ilipomaliza Mafunzo ya huko, ikaamishiwa Olmotonyi Arusha, baada ya Serikali kushindwa kulipa pango , timu ikahamia Chuo Cha Habari Maalum Jijini Arusha, huku Nako wakatimuliwa baada ya kushindwa kulipa bili Mbalimbali, ikiwemo...
  7. JamiiForums Tanzania RT wataja Wanariadha 15 Jumuiya ya Madola, Suleiman Nyambui Kocha Mkuu

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Limewatangaza Wanariadha 15 wa mbio Ndefu watakaoingia Kambini (West Kilimanjaro) Kwa kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa Kufanyika Birmingham, Uingereza mwezi Agosti 2022. Wanariadha waliotajwa ni Pamoja na Wana Olimpiki walioshiriki...
  8. JamiiForums Tanzania Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

    Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…