Huyu bwana amejipanga kugombea ubunge uku Namtumbo. Ameanzisha kiredio chake kinaitwa Cite fm, Kila siku kinamsifia.
Kwa unyama uliomfanyia Mdude Nyangali, hatukutaki na hatutaki kuwa na mwakilishi wetu ambae ni killer.
Ukibisha, we chukua fomu ila wajumbe tutakunyoosha.