jukwa la wahariri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wahariri (TEF) Waitaka Polisi Kuchunguza alipo Polepole

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limetoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kuchunguza kwa haraka na kwa makini taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey polepole ‎ ‎Wito wa jukwaa hilo umetolewa Oktoba 7, 2025 na Mwenyekiti wake Deodatus Balile kupitia taarifa...
  2. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
  3. Tina

    Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Mwanahabari Absalom Kibanda TAARIFA ZA AWALI Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...
Back
Top Bottom