Habari zenu wadau.
Ninaomba mtu awbaye anamashine ya kukamua juice miwa, Tuwasiliane tufanye kazi,
Ama kwa yeyote mwenye office mahali, na anauhitaji usimamizi wa kazi kwa makubaliano ya MALIPO ,
Tafadhalii naomba Tuwasiliane Tufanye kazi , Jiji Dar. Temeke, kinondoni, Ubungo, ilala nk...