Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au Leymax, ambapo amempongeza Leymax kwa kutoa mchango kwa wajasiriamali wengi hapa nchini.