jokofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge)Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jokofu (fridge) langu haligandishi

    Naomba kupata fundi wa fridge aliyepo tanga
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Jokofu likiachwa milango wazi huku limewashwa halidumu kwa muda mrefu

    Hivi ni kweli kuwa jokofu likiwa 'switched on' huku milango yake ikiwa wazi, hupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi wa matumizi?
  4. bernadbonny

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji/ jokofu (refrigerator) Tsh. 350,000 net

    Friji/Jokofu linauzwa Tsh.350,000/= NET! ______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Linatumia 0.8 units tu za umeme kwa masaa 24. Tena hapo ukiwa ume'seti namba KUBWA...
Back
Top Bottom