jokate mwegelo

Jokate Mwegelo is the District Commissioner for Kisarawe. She is a politician. Before being appointed, she was an entrepreneur and a media personality. In July 2018, the President of the United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli appointed Hon. Jokate Mwegelo as the new District Commissioner for Kisarawe district in Pwani region. She is a member of Chama Cha Mapinduzi, previously served as Secretary in charge of Public Relations and Mobilization UVCCM - youth wing of Chama Cha Mapinduzi.
She is one among Tanzania's youngest influential leaders and entrepreneurs. In 2017, Hon. Mwegelo was included in Forbes 30 Under 30 in Africa. In August 2017 she was named by Africa Youth Awards among the 100 Most Influential Young Africans. The 2018 Most Influential Young Tanzanians by Avance Media place her as the third most influential young Tanzanian and the most influential young Tanzanian under the category of Law and Governance .

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    Binti chawa Jokate Mwegelo amelamba cheo gani ?

    Huyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia, alikua mstari wa mbele kumpigia debe samia, Nakuwapa vitisho waaandamanaji. Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
  2. PAYE

    GE2025 Jokate Mwegelo: Vijana wenzangu, hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii. Oktoba 29 tumrejeshe Samia Suluhu

    "Vijana wenzangu, hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii. Oktoba 29 ni siku ya kufanya maamuzi ya kumleta tena Dkt Samia Suluhu" — Jokate Mwegelo
  3. K

    Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  4. Waufukweni

    GE2025 Jokate: Vijana CCM baada ya Uchaguzi Makundi yavunjike, turudi Mezani kuijenga Jumuiya Yetu, na Chama

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo, amesema vijana wanapaswa kuendeleza misingi ya ujamaa, amani, upendo na mshikamano hata baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu ndani ya jumuiya hiyo. Ametoa wito kwa vijana wa CCM kutambua kuwa...
  5. amarina

    Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  6. SSH2025_2030

    Jokate Mwegelo anastahili ubunge!

    Katibu Mkuu wa UVCCM Mheshimiwa Dr Jokate Urban Mwegelo anastahili kutuwakilisha Vijana pale Mjengoni. Kulikon hajachukua Fomu?
  7. DuaZaMama

    PreGE2025 Jokate Mwegelo apewa uteuzi na Askofu Ndimbo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ameteuliwa na Askofu John Chrysostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu upatikanaji wa fedha na vifaa kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Likonde Seminari ambapo KM...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jokate: Vijana nendeni mkajiandikishe kwenye daftari la Mpiga kura ili muweze kufanya maamuzi

    Jokate Mwegelo amewataka Vijana ambao hawajiamdikisha kwenye daftari la Mpiga kura kwenda kujiandikisha ili waweze kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaowataka ili kuwakeletea maendeleo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  9. J

    PreGE2025 Jokate Mwegelo aongoza matembezi ya "First Time Voters"

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es...
  10. PendoLyimo

    PreGE2025 Mrisho Kamba: Jokate ni nguvu mpya ya ushindi wa CCM 2025

    *JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi kwako. Natumaini ujumbe huu unakufikia ukiwa na afya njema na ari ileile ya kuwatumikia Watanzania...
  11. McLaren

    PreGE2025 Tanga: Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo aongoza matembezi wa Wana CCM kumkaribisha Rais Samia Tanga

    Wakuu, Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika Tarehe 18-19 Januari, 2025. Soma: CCM kufanya mkutano mkuu Januari...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Jokate: Rais Samia ameuthibitishia ulimwengu Tanzania ina Demokrasia imara, vyama vina wagombea na kampeni zimeisha kwa amani

    Wakuu, Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  16. J

    PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  17. J

    Jokate Mwegelo apewa tuzo ya ubalozi wa Afya ya Akili

    CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe leo Mei 31,2024 jijini Dodoma ambapo...
  18. Chachu Ombara

    Jokate Mwegelo: Mpaka sasa Raia Samia hajakosea chochote, tukatae wote wanaotaka kumdhoofisha

    Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania...
  19. Stephano Mgendanyi

    Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  20. Comrade Ally Maftah

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo ni uteuzi wa viwango

    SALAMU ZA PONGEZI KWA JOKATE MWEGELO ( KATIBU UVCCM - TAIFA ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Uteuzi wa Jokate kuwa Katibu wa UVCCM ulinisisimua kiasi cha kushindwa kulema lolote kwa kipindi tangu alipoteuliwa. Jokate ni kiongozi mwenye mvuto mkubwa kwa wananchi wa kawaida, kutokana n...
Back
Top Bottom