Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1
BUNDA MJINI
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii
==
John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI
1.0 UTANGULIZI
Ndugu zangu Watanzania,
Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda.
Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye.
Asipofanya hivyo nitajiongeza! John Mrema
Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza...