john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

    Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Lissu, Lema na Heche hawaaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema taifa na wanachdema kwa ujumla?

    Je, hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini? Au, hawakubaliki wala...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe: Niliona John Heche anapotea kisiasa, nikamteua Mjumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama. Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

    Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

    Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
  8. JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hawajakemea ubaguzi wa jinsia, ukanda, na udini unaifanywa na Lissu na Heche

    Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche. Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

    Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine. "Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Lissu akisalimiana na Heche

    Mh. Tundu Lissu akisalimiana na Mh. John Heche leo kwenye kikao cha Kamati kuu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche adaiwa kukiuka kanuni za uchaguzi CHADEMA, hatarini kuenguliwa

    John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao...
  14. JamiiForums Tanzania Heche alishindwa na Esther Matiko nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Serengeti

    Heshima sana Wanajamvi, Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA. Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Heche humuoni Tundu Lissu, tofauti ni kubwa. Siioni Chadema ya Lissu/Heche ikidumu

    Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi. Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  18. JamiiForums Tanzania Heche: Mgombea wa Msumbiji alikuja Tanzania kujifunza wizi wa Kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema: "Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

    Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani? Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
  20. JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…