Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia @ccmtanzania Professa Kitila Mkumbo amepiga kura leo katika kituo cha Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam
Source Jambo TV
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.
Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
Akizungumza leo Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa kufunga kampeni kuu za CCM kitaifa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni mgombea ubunge wa Karagwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Bashungwa
Bashungwa amesema vijana wana nafasi muhimu katika maamuzi ya nchi, hivyo...
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo waliojiandikisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, bila kuwa na hofu yoyote.
Babu ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, ameyasema hayo mjini Moshi, alipokuwa akizungumza...
Nini kimetufikisha hadi hatua ya kuhamasishana kupiga kura kwa nguvu kiasi hiki? Je, ni kwamba wananchi hawatambui wajibu wao, au wamepoteza imani na mchakato wa upigaji kura? Hili ni swali linalohitaji tafakari ya kina.
Tunahitaji kurudi nyuma na kuangalia tulipojikwaa ili tuweze...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Welezo, Zanzibar, Bi. Asma Mwinyi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Hawaii, Jimbo la Welezo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Dkt. Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.