jina la yesu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ni marufuku kutaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu nchini Israel. Sisi waswahili tumetoa wapi mafundisho hayo ya kuombea nchi Israel

    Nimemsikiliza kiongozi mmoja wakidini hawa wenzetu walokole kanishangaza kidogo. Anasema nchi ya Israel imetunga Sheria inayozuia wananchi wake kulitaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu hadharani. Yaani kwao ni haramu kutumia jina la Yesu kuombea nchi hiyo. Sisi wakristo waafrika...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  3. M

    Kwa jina la Yesu: Huku ndiko ukristo unakoipeleka dunia

    Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
  4. a sinner saved by Christ

    Ushuhuda mpya nguvu ya jina la Yesu

    ushuhuda Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
  5. Setfree

    Jina la Yesu limefanya maajabu: limemzuia mwana mazingaombwe kucheza "show" zake

    Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza! Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
  6. KING MIDAS

    HIvi zaidi ya Jina la Yesu, ni jina Gani lingine likitajwa watu wenye negative energy wanaanguka na kupata shida?

    Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
  7. R

    Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
  8. Setfree

    Shetani tunakukemea kwa Jina la Yesu: Waachie watu uliowateka

    Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi. 2...
  9. Setfree

    Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...
  10. R

    Serikali yetu ina mkakati gani na hawa wanauza mihadarati ya kiimani kwa jina la Yesu au ukristo?

    Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
  11. Setfree

    Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

    Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya...
  12. R

    Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Salaam, shalom!! Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau. Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!! Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho? Karibuni🙏
  13. Jidu La Mabambasi

    Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  14. Yuda Legacy

    Jina la Yesu ndio silaha itakayotimika Vita ya Tatu ya Dunia na watakatifu kuangusha waovu

    JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU...
  15. Yuda Legacy

    Jinsi ya kuacha pombe kwa kutumia Jina la Yesu

    Hii ni Njia rahisi Sana kwa alie tayari kuacha Kutumia madawa ya kulevya Aina ya Pombe (Alcohol) ni rahisi Sana kama utakuwa umechoshwa na Hali ya unywaji wa Pombe. Njia hii ni jina la YESU KRISTO kwa maana kitu chochote atendacho mwanadam huanzia rohoni ikiwa na maana yale mawazo yanayo sema...
Back
Top Bottom