Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.
Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea...
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.
Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea...
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.