Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
_WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO
_
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga
Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini na kukabidhiwa na Mohamed Lawa ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo
Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika.
Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Mchinga na mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, amesema kuwa moja ya kumbukumbu asizoweza kusahau maishani mwake ni wakati wa kuhesabiwa kura hadharani alipogombea ubunge.
Akizungumza leo Machi 5, 2025, katika kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.