jimbo la mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mbeya: Madiwani 10 wa CCM hawana Wapinzani, INEC kuamua Kura za 'Ndiyo' zisipotosha Oktoba 29, 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Mbeya Mjini yawaweka kitanzini madiwani kumi wa chama cha Mapinduzi (CCM) ambao kwenye Kata zao hawana wapinzani, kwa kutotangazwa washindi endapo hawatapata Kura za kutosha kulingana na idadi ya wapiga kura. Hayo yamebainishwa na msimamizi wa...
  2. R

    GE2025 Aliyeshindwa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Sambwee Shitambala amekanusha tuhuma za Kuhama CCM

    Aliyetia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Wakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala, amekanusha tuhuma za kuhama chama hicho na kwenda Chama kingine cha upinzani kama uvumi unavyosema. Wakili Shitambala amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  3. Just Pray

    GE2025 Mwandishi wa habari, Charles Mwakipesile achukua fomu kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini

    Mwanahabari Charles Mwakipesile amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya mjini
  4. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

    Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Mjini Humphrey Nsomba amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Tulia akimbia jimbo la Mbeya Mjini, atangaza nia kugombea jimbo jipya la Uyole

    Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei...
  6. chiembe

    Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  7. Just Pray

    PreGE2025 Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya mjini kupata jimbo jipya la Uyole

    Wakuu Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Dk Tulia Ackson ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  8. J

    PreGE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

    Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini. Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia. Hata hivyo Lucas amesema yeye hana...
  9. and 998 others

    PreGE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

    Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
  10. J

    PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

    Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
  11. Dalton elijah

    Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  12. Victoire

    Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  13. L

    Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  14. Mmawia

    Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

    Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu. Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya. Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa...
Back
Top Bottom