Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa...
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wananchi.
Miongoni mwa mafanikio yaliyotajwa ni pamoja na ujenzi na...
Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani.
Shigongo...
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza.
Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
Atranus Method (kulia) amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Buchosa, leo Julai 2, 2025 na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.