jikoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

    Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa Ya nini haya sasa jamani? Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye nyumba zetu mlango ya jikoni ndiyo inatumika

    Nime experience hii nyumba zetu nyingi sana huwa milango ya jikoni ndiyo inatumika watu kuingilia. Ni nadra sana front doors ikatumika. Sababu ni nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa/vyombo mbalimbali vya cake na jikoni

    Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni. Mawasiliano yangu ni 0746685756 Nita update kila mara vinapoingia. Tunafanya delivery na mkoani tunatuma. Karibuni sana
  4. JamiiForums Tanzania Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria

    Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria 1. Tumia chumvi na ndim kusafisha ubao wa mbao wa kukatia vitu jikoni. Mwagia chumvi kwenye ubao halafu sugua na ndimu. 2. Safisha tray zako za kuchoma kwenye oven kwa kuchanganya nusu kikombe maji na nusu kikombe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…