jiji la mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    KERO Nyumba nyingi jijini Mbeya ziko chini ya kiwango na mpangilio wa jiji ni mbovu. Mamlaka hamuoni?

    Hili jiji kuna sehemu nyingi sijui zibomolewe tu halafu zianze kujengwa upya Nyumba nyingi ni below standard halafu Skyline yake imejaa slums kwa kiasi kikubwa halafu ni kama uwekezaji upo chini Hili jiji linaipatia serikali hela nyingi sana kila mwaka ila kuna miradi michache mno ya...
  2. ChoiceVariable

    Wakazi wa Jiji la Mbeya Wafurika Kushuhudia Uzinduzi wa Ngazi ya Umeme ya Kwanza Jijini humo Iliyofungwa Ndani ya City Shopping Mall

    Baada ya Uzinduzi wa Lift ya kwanza Sasa ni Uzinduzi wa Escalators zinazoendeshwa umeme. My Take Kwa Mbeya Kila hatua ya maendeleo ni burudani.
  3. Saguda47

    KERO Maeneo mengi ya Mjini Jiji la Mbeya yana changamoto ya miundombinu, iboreshwe inatia aibu

    Itoshe tu kusema Jiji la Mbeya ni moja ya miji yenye miundombinu duni kabisa Tanzania hii. Jiji lisilo na mpangilio maalumu, barabara duni, mifereji ya majitaka mibovu na inasababisha kujaa maji hovyo katikati ya maeneo muhimu. Hizi ni picha za eneo muhimu la Kabwe jijini Mbeya, zimepigwa mnamo...
  4. Traxtion

    Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  5. Traxtion

    Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  6. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  7. Traxtion

    Jiji la Mbeya: Hapa Wabongo tumechemka

    Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka 😂😂😂 Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda kwenye images, utakachokiona ndio Mbeya iko hivyohivyo Hili suala linaniuma mno, kwa sababu hapa...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa

    Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya wilaya ya Mbeya Vijijini kwa ajili ya Ujenzi wa Miji ya kisasa. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi...
  9. S

    Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, ampongeza Rais Samia kuimarisha Demokrasia na kuleta matumaini ya uchaguzi huru na wa haki, 2025

    Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya Tanzania katika kujenga jamii yenye umoja na mshikamano, akisema kuwa Serikali imekuwa mstari wa...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya mjini kupata jimbo jipya la Uyole

    Wakuu Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Dk Tulia Ackson ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025

    Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHAUMMA kugawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure

    Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  14. Mwanongwa

    KERO Mbeya: Chemba ya Maji taka Mitaa ya Forest ya Zamani inamwaga maji ya kinyesi mtaani na inachukulia poa tu

    Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu. Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya maeneo inaendelea kuongezeka. Na hizi mvua zinazoendelea kunyesha ndiyo zinazidi kusambaza uchafu...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Meya wa jiji la Mbeya: Kila mtanzania anatamani Dkt. Tulia awe mbunge wa jimbo lake, Mbeya mkikataa aendelee atagombea jimbo lolote atashinda

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge. kikao
  16. Mwanongwa

    KERO Utaratibu wa uzoaji Taka Jiji la Mbeya ni shida, zimezagaa mitaani licha ya Wananchi kulipa ili zizolewe

    Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi karibuni lakini suala la usafi limebaki kitendawili. Halmashauri ya Jiji hawa watu wenu wa Suma JKT...
  17. milele amina

    Mkoa wa mbeya,haswa Jiji la Mbeya haujavutiwa na mradi wa Barabara

    Hali ya barabara za mkoa mzima wa Mbeya ,hali yake ni Mbaya!
  18. Mwanongwa

    KERO Mbeya ina changamoto ya chemba kuvuja na kutiririsha maji taka mitaani na kwenye mito

    Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa ajili ya nini. Sasa tuachane na huo uchafu ambao wenye mamlaka wameonekana kushindwa kutatua...
  19. N'yadikwa

    KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

    Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
  20. Liverpool VPN

    Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    INTRODUCTION:- Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii" Twende kwenya mada .... BODY:- Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07. Na hii ndio ratiba ya gambe .... 1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe...
Back
Top Bottom