jihadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Rafiki Mnafiki jihadhari nae

    1.Chunga usilie chozi mbele yake 2. Akikutoa mtaroni ukiwa hospital atakusahau 3. Ukiwa huna pesa au hupati maendeleo kwake furaha 4. Hata mchumba, mpenzi, mkeo atamla au atamtaka. 5. Majungu atakusema sana 6. Chake chake Chako chenu 7. Ukipata wewe umebahatisha Yeye akipata anastahili...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

    Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo. Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya...
Back
Top Bottom