jeshi

  1. K

    Jeshi ni: Radio ya Taifa na Viwanja vya ndege - kazi imeisha

    Jeshi ni : Radio TZ, na viwanja vya ndege kazi imeisha.
  2. Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  3. GE2025 Aliyedhalilisha Jeshi kwa kuliweka mitaani kabla ya Uchaguzi afunguliwe mashtaka ya "kudhalilisha Jeshi" na "Uhaini"

    Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje. Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi? Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao? Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu? Nne...
  4. Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

    Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu. Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa...
  5. M

    Mimi ndio Amri Jeshi mkuu, Naye, nye 🤣🤣🤣🤣. Kiko wapi

    Kiko wapi? walisema kikipasuka hata Kibati... 🤣🤣🤣🤣🤣
  6. Je, Jeshi litatuangusha au litafanya kweli?

    Kwa hali ilivyo, ni kwamba watanzania walio wengi wamempigia Samia Suluhu Hassan kura ya kutokuwa na imani naye. Sasa, nini kifanyike? Sitisha uchaguzi ima iundwe serikali ya mpito au jeshi nalo lau lionje ulaji. Tumeichoka CCM. Hatuitaki hata mzoga wake. Je, Jeshi kweli litazembea na...
  7. GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  8. Mzee wa dungu Jeshi sijui naye atatembelewa?

    Yule mwingereza mtanzania mwenye ngembe, nyodo, majigambo, majivuno na madharau ya hali ya juu naye inabidi atembelewe mbweni Asije kabisa tarehe 15 nov kwenye mnada wake wa vyuma chakavu. 100 others Shammy-
  9. Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  10. Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  11. R

    GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  12. GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  13. JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  14. Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  15. Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  16. Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  17. GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  18. GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  19. GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  20. Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…