Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani.
Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote...